PhD UNIVERSITY OF DODOMA

BENACO CAMP

Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
12
Reaction score
14
Ndugu zangu. Ninahitaji kupata taarifa juu ya PhD programs za UDOM. Nimeaangalia kwenye website yao www.udom.ac.tz lakini sikupata taarifa zozote za jinsi ambavyo ninaweza kujiunga na kozi ya PhD pale. Je kuna mtu yeyote anajua taratibu au labda ana soft copy ya prospectus yao ambayo inaweza kunipa maelekezo ya jinsi ya kujiunga, fee structure na pia guideline yao ya kuandaa concept paper? Naomba mnisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…