Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
UPO SAHIHINi vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.
Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.
FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa yetu Tanzania
Toa maoni yako
KabisaUPO SAHIHI
True 🙌Hakika anastahili.
Ugawaji wa hio heshima usiegemee upande mmojawanatamani kutenda haki lakini wanaogopa 'mayahudi'.
Sijajua hapoKwanini asitengeze taasisi? Kama Nyerere?
HakikaTundu Lissu na Mdude wana cha kujifunza kutoka kwa huyu Gwiji wa Siasa za Upinzani
Mh Freeman Mbowe au unaweza muita pia Ustaadh Aboubakar, kama anavyo fahamika huko Tanzania visiwani
We utopolo tulia hujui kituaache ubahili akanunue kama akina msukuma
We utopolo tulia hujui kitu
Ntakusomea kifungu hutarudi tena hapa jf miaka mitatu