pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
kanunua kwa dola 200, kweli huyu mtu ni mshamba kama ...................lilivyo 🤣Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Una maslahi nae binafsi coach. Endelea kula maisha.
Hiyo PhD si wangempa Millard AyoUkiona mwanasiasa kapata PhD au master jua ni ya mchongo.
Nilijiulizaga awali kuwa walimpatia huo PHD wa heshima waitumia vigezo gani kuntu kumbe ni mambo ya kununua na kudanga raia,hakuna uongo usio na mwisho
Nilijiulizaga awali kuwa walimpatia huo PHD wa heshima waitumia vigezo gani kuntu kumbe ni mambo ya kununua na kudanga raia,hakuna uongo usio na mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]au siooooo!!!!Mumuache mheshimiwa Dr. King J.K Msukuma!! We umesikia wapi “anataka aonekane “ msomi?!
Kapewa heshima sio dhambi kuipokea.
Mbona kama mavazi alijibebea mwenyewe toka Bongo to USA? Au alitunukiwa huku huku Buza??Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Baba Askofu Bagonza amenukuliwa kwamba aliombwa dola 500 na chuo hicho ili aingizwe kwenye mchakato wa watakaopewa PhD hiyo na hicho chuo cha Musukuma ila yeye akagoma na akawaambia wahusika kwamba anazo ofa kadhaa kutoka kwenye vyuo vikubwa duniani vinavyomuomba akubali kupewa PhD za heshima, tena kwa vyuo vyenyewe kumlipa hadi USD Elfu 10, siyo kwa yeye kuvilipa vyuo kama chuo cha Musukuma kinavyodai.
Swali ni hili, ni nani anafaidika na vyuo vya uongo kama hiki cha Musukuma na ili iweje?
Pia, soma=> Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu
Hapana... ni chukizo na aibu kwa taifaMambo yake muachieni mwenyewe...