PhD za heshima ni mitego kwa viongozi wa Afrika, ni mambo ya asimilation policy

PhD za heshima ni mitego kwa viongozi wa Afrika, ni mambo ya asimilation policy

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi?

Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena ni sio wote bali ni wale wanao wafurahisha Wazungu kwa kiwango kikubwa sana.

Asia ina viongozi waadilifu sana, na wanao simamia uchumi unakua kwa kasi sana ila huwezi wakati wanatunukiwa Phd za heshima na Wazungu.

Wazungu hawawezi mpatia Phd ya heshima Waziri mkuu wa India, au Raisi wa Indonesia au Waziri Mkuu wa Singapole. India ndio taifa uchumi wake unakuwa kwa kasi ya kutisha ila hutasikia Waziri Mkuu wake anaitwa Ulaya kupewa Phd ya heshima.

Wazungu Phd za heshima ni kwa Viongozi wa Africa pekee. na kwa sababu maalimu.

Korea Kusini wale Trading Partiners wao top 20 Tanzania haimo ila cha ajabu sana kiongozi wao ndio anatunukiwa Phd ya heshima.Korea kusini haijawahi mpatia Phd ya heshima kiongozi mmoja wapo ya hao trading partiners wao.

Trading partiners wake.

  1. Mainland China: US$124.8 billion (19.7% of total South Korean exports)
  2. United States: $116.3 billion (18.4%)
  3. Vietnam: $53.5 billion (8.5%)
  4. Japan: $29 billion (4.6%)
  5. Hong Kong: $25.2 billion (4%)
  6. Taiwan: $20.2 billion (3.2%)
  7. Singapore: $18.8 billion (3%)
  8. India: $17.9 billion (2.8%)
  9. Australia: $17.8 billion (2.8%)
  10. Mexico: $12.2 billion (1.9%)
  11. Germany: $10.3 billion (1.6%)
  12. Malaysia: $9.8 billion (1.5%)
  13. Indonesia: $9.14 billion (1.4%)
  14. Poland: $9.02 billion (1.4%)
  15. Philippines: $9.01 billion (1.4%)
  16. Türkiye: $8.99 billion (1.4%)
  17. Canada: $8.43 billion (1.3%)
  18. Thailand: $7.55 billion (1.2%)
  19. Netherlands: $6.86 billion (1.1%)
  20. Hungary: $6.79 billion (1.1%)
  21. Russia: $6.13 billion (1%)
  22. United Kingdom: $6.05 billion (1%)
  23. Marshall Islands: $5.9 billion (0.9%)
  24. France: $5.6 billion (0.9%)
  25. Saudi Arabia: $5.3 billion (0.8%)
Hawa jamaa ni wajanja sana.
 
Hv ukipewa PhD moja kuna umuhimu gani wa kupewa nyngn mana c mwisho wa siku utatambulika kwa PhD na sio MaPhD
 
Hv ukipewa PhD moja kuna umuhimu gani wa kupewa nyngn mana c mwisho wa siku utatambulika kwa PhD na sio MaPhD
Unaweza pewa hata 20 Wazungu hawajahi kuwa wajinga tangu enzi za ukoloni, wanajua wanacho manisha kwa kutoa hizo Phd
 
Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi?

Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena ni sio wote bali ni wale wanao wafurahisha Wazungu kwa kiwango kikubwa sana.

Asia ina viongozi waadilifu sana, na wanao simamia uchumi unakua kwa kasi sana ila huwezi wakati wanatunukiwa Phd za heshima na Wazungu.

Wazungu hawawezi mpatia Phd ya heshima Waziri mkuu wa India, au Raisi wa Indonesia au Waziri Mkuu wa Singapole. India ndio taifa uchumi wake unakuwa kwa kasi ya kutisha ila hutasikia Waziri Mkuu wake anaitwa Ulaya kupewa Phd ya heshima.

Wazungu Phd za heshima ni kwa Viongozi wa Africa pekee. na kwa sababu maalimu.

Korea Kusini wale Trading Partiners wao top 20 Tanzania haimo ila cha ajabu sana kiongozi wao ndio anatunukiwa Phd ya heshima.Korea kusini haijawahi mpatia Phd ya heshima kiongozi mmoja wapo ya hao trading partiners wao.

Trading partiners wake.

  1. mainland China: US$124.8 billion (19.7% of total South Korean exports)
  2. United States: $116.3 billion (18.4%)
  3. Vietnam: $53.5 billion (8.5%)
  4. Japan: $29 billion (4.6%)
  5. Hong Kong: $25.2 billion (4%)
  6. Taiwan: $20.2 billion (3.2%)
  7. Singapore: $18.8 billion (3%)
  8. India: $17.9 billion (2.8%)
  9. Australia: $17.8 billion (2.8%)
  10. Mexico: $12.2 billion (1.9%)
  11. Germany: $10.3 billion (1.6%)
  12. Malaysia: $9.8 billion (1.5%)
  13. Indonesia: $9.14 billion (1.4%)
  14. Poland: $9.02 billion (1.4%)
  15. Philippines: $9.01 billion (1.4%)
  16. Türkiye: $8.99 billion (1.4%)
  17. Canada: $8.43 billion (1.3%)
  18. Thailand: $7.55 billion (1.2%)
  19. Netherlands: $6.86 billion (1.1%)
  20. Hungary: $6.79 billion (1.1%)
  21. Russia: $6.13 billion (1%)
  22. United Kingdom: $6.05 billion (1%)
  23. Marshall Islands: $5.9 billion (0.9%)
  24. France: $5.6 billion (0.9%)
  25. Saudi Arabia: $5.3 billion (0.8%)
Hawa jamaa ni wajanja sana.
Kabla ya kubadilika mbinu, viongozi wetu walipewa Gololi za kucheza bao na wao wakachukua Almasi.

Huyu "Tusiyempenda lakini ni Wetu" angekuwepo enzi hizo angeuza nchi Kwa kupewa KANIKI
 
Kabla ya kubadilika mbinu, viongozi wetu walipewa Gololi za kucheza bao na wao wakachukua Almasi.

Huyu "Tusiyempenda lakini ni Wetu" angekuwepo enzi hizo angeuza nchi Kwa kupewa KANIKI
Hahaaaa
 
Back
Top Bottom