PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
 
Vipi taaluma zote ya Morogoro Muslim University unazitambua?
Umeulizwa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge wewe unaleta habari ya Muslim University of Morogoro
 
MWECAU PhD zinatambulika wapi?
 
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Nikuulize tu, PhD kisheria na taratibu zinatambuliwa na mamlaka za elimu au hizo taasisi ulizotolea mfano hapo?
 
Nenda TCU mkuu.... kama hazitambuliki TCU wasingeruhusu waendelee kutoa
 
Kama wanatoa PhD inamaanisha TCU wameona wana vigezo vya kufanya hivyo, hayo mengine tuachane nayo. Karibu MWECAU 😂😂
 
Back
Top Bottom