chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti.
Hii ingemuacha na kumbukumbu kubwa sana. Huko duniani fedha za mazingira zimejaa tele. Mzee hata hilo lilimshinda. Mji wa serikali mtumba alitakiwa aivalie njuga component ya mazingira kwa kuufanya uwe wa kijani. Wapi!!!!! UDOM na kwingine kote.
Soma Pia: Dr. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo
Kigoma ndio kabisaaa, mzee akienda kwao hana cha kuonyesha. Hata krismas alikuwa Dodoma tu wakati viongozi wenzake wameenda walikozaliwa.
Hii ni wasted opportunity