Uchaguzi 2020 Philipo Fumbo wa Democratic Party ajinasibu kama Mgombea Urais pekee anayeishi kijijini

Uchaguzi 2020 Philipo Fumbo wa Democratic Party ajinasibu kama Mgombea Urais pekee anayeishi kijijini

Rahma Salum

Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
30
Reaction score
59
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia chama cha Democratic Party amejisifu kwa kuwa mgombea pekee anayeishi kijijini.

Fumbo anaishi katika Kijiji cha Mwakizega, Kata ya Mwakizega, Tarafa ya Ilagala Wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

Moja ya faida za yeye kutoka kijijini ni kuweza kujua shida halisi za Watanzania walio wengi.

DP inaahidi kuwezesha wanawake wa vijijini kufikiwa na huduma bora za afya ya uzazi pamoja na mikopo ya biashara ambayo sasa wanaisikia kwenye redio.
 
Back
Top Bottom