Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Thank kakaNi habari ya kuhuzunisha.
Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49
Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.
Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa ya Afrika kusini Bafanabafana. Kama mnakumbuka 1996 ile Bafanabana ya mark fish mosheu, doctor khumalo iliyotwaa Afcon Mafinga alikuwepo
R.I.P
Ni habari ya kuhuzunisha.

WHAT'S THE ISSUE?Nina uhakika wakati wake huo ' Members ' wengi hapa walikuwa bado katika Ndoo za Mabeseni ( Watoto Wachanga ) huku wakililia tu Uji na Maziwa. R.I.P Masinga.
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.Ni habari ya kuhuzunisha.
Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49
Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.
Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa ya Afrika kusini Bafanabafana. Kama mnakumbuka 1996 ile Bafanabana ya mark fish mosheu, doctor khumalo iliyotwaa Afcon Mafinga alikuwepo
R.I.P
Nina uhakika wakati wake huo ' Members ' wengi hapa walikuwa bado katika Ndoo za Mabeseni ( Watoto Wachanga ) huku wakililia tu Uji na Maziwa. R.I.P Masinga.
ni kwamba mlikuwa mnaogeshwa kwenye mabeseni na wengine hawajazaliwaWHAT'S THE ISSUE?