Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
siku zile za awali ungeishatandikwa Bansio amejiunga CHADEMA
πππ Chelsea tena !Tuwekee na kapicha ka uhamisho akiwa na jezi mpya ya Bayern Munchen ikibidi! Mchezaji wetu mtarajiwa wa Chelsea huyo.
Bora ameondoka lilikuwa mzigo tu pale Barca.
Sema dogo haji mfikia king messi, au unasemaje