Uchaguzi 2020 Philomen Monaban achukua fomu Arusha Mjini na kurudisha

Uchaguzi 2020 Philomen Monaban achukua fomu Arusha Mjini na kurudisha

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
697
Reaction score
1,358
Kila la kheri Kaka yetu Philomen Monaban kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Jimbo la Arusha Mjini

FB_IMG_1594973957354.jpeg
FB_IMG_1594973950773.jpeg
FB_IMG_1594973947475.jpeg
 
Kama ccm wanahofu ya Mungu na niwaumini katika kundi la watenda haki, wanapaswa kumpitisha
 
Kumekuchaaaa kucheeereeee! Sijui yule mtoto wa mkuu atapitia wapi
 
Leo ni leo, ingawa Mimi si mzuuri kihivo katika siasa, imenibidi nichukue fomu ingawa najua stafika hata kwenye tatu Bora, lakini potelea pote, natengenezea kizazi changu kuwa na ujasiri kuona kila kazi wanaweza fanya

Nakumbuka kunarafiki yangu alisema, kwenye maisha yake lazima anunue Gari na akishindwa atakwenda kununua hata schlepper alivute Hadi nyumbani kwake ili ziwe Stori za yeye na wanawe wanapokusanyika kuwa Baba Yao hakuwa na utani na kazi
 
Watakatwa sn na mara hii chama ni mali ya mmtu mmoja mtajuuutaaa......kuna ukanda na ukabila
 
Sasa kama anagawa Unga ndo anataka tumpe ubunge hiyo haiwezekani , ubunge chadema tunampa Ally Bananga na ccm tunampa Okayoko atutaki watu waliochuma ili wachume zaidi.
 
Back
Top Bottom