Elections 2010 Phocas wa CHADEMA azindua kampeni Nkenge

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas Rwegasira walipojinadi kwa wananchi.

Attachments

  • IMGP9580.jpg
    31.2 KB · Views: 214
  • IMGP9615.jpg
    30.2 KB · Views: 218
  • IMGP9523.jpg
    40.2 KB · Views: 765
  • IMGP9539.jpg
    39.9 KB · Views: 202
  • IMGP9524.jpg
    50.9 KB · Views: 868
  • IMGP9576.jpg
    37.6 KB · Views: 208
  • PHOCAS.jpg
    40.2 KB · Views: 217
  • IMGP9609.jpg
    31 KB · Views: 194
  • IMGP9590.jpg
    36.9 KB · Views: 194
  • IMGP9588.jpg
    37.8 KB · Views: 67
  • IMGP9570.jpg
    27.8 KB · Views: 192

BWANA PHOCA AKIJINADI KWA WANANCHI

MMOJA WA VIONGOZI WA CHADEMA MKOANI KAGERA AKIMNADI MGOMBEA

PHOCAS AKIMWAGA SERA ZA CHADEMA

MGOMBEA UDIWANI KATA YA ISHOZI AKIOMBA KURA KWA STYLE YAKE

UMATI ULIOHUDHURIA MKUTANO WA UZINDUZI
 
hawa akina shomire watani zangu wameitikia mwito wa mageuzi wakaze buti
 
Kaza buti kijana siasa sio lelemama.nyegela waitu uwanja wa siasa
 
Mkuu Mchukia Fisadis:

Twaweza kupata "profile" ya P Rwegasira?

Maana wengine tuna familia zinaishi jimboni hilo na tunapiga kampeni "remotely" kwa mgombea anayefaa
 
Bwana Rwegasira,
tunakutakia kila la heri na mafanikio katika hizi mbio
 
Mkuu Mchukia Fisadis:

Twaweza kupata "profile" ya P Rwegasira?

Maana wengine tuna familia zinaishi jimboni hilo na tunapiga kampeni "remotely" kwa mgombea anayefaa

Baba Enock nimejaliwa kupata maelezo kidogo kutoka kwenye kipeperushi hiki.

Namfahamu kama mfanyabiashara hapo Bukoba mjini akiendesha biashara za Music na matangazo, kucharge batteries, transport na ni fundi wa electronics.

Pia amewahi ku attend chuo cha electronics and computer maintenance USA kwa miaka miwili.
 
Huyu ana chuana na aliyemng'oa Mh. Waziri wa nchi TANO (EAC) nipeni CV ya huyu mama, tafadhali.
 
Huyu ana chuana na aliyemng'oa Mh. Waziri wa nchi TANO (EAC) nipeni CV ya huyu mama, tafadhali.

Form IV - Shule ya Wasichana Rugambwa
Course ya Upishi (??)
Course ya Upishi (wa Viongozi) (??)
Muhudumu Katika Ndege (za Viongozi) (??)
UwT - Operative (todate) : Sina uhakika Aliingiaje kwenye National Security "Cycle"
 
Kwa mtizamo wangu Rwegasira anaweza kufanya mambo mema kwa Wana-Nkenge kuliko huyu operative wa UwT - Asumpitha!
 
Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas Rwegasira walipojinadi kwa wananchi.

MF asante kwa picha za uzinduzi huu,lakini na wewe ni mchokozi ukatuwekea na nyumba zilizoweka picha ya mgombea wa chama tawala.Maisha bora kwa kila mTz lol.
 
MF asante kwa picha za uzinduzi huu,lakini na wewe ni mchokozi ukatuwekea na nyumba zilizoweka picha ya mgombea wa chama tawala.Maisha bora kwa kila mTz lol.

Si mimi niliyeipiga lakini rafiki yangu wa uko Ishozi alinitumia kwa email picha hizi baada ya kuzipiga.
Nilipoiona nyumba hiyo na ahadi maisha bora zaidi nilibaki kujiuliza hivi kuna watu wengine wanaijua dunia inafananaje?
Mungu wangu sijui kama mtu aliyebandika karatasi ile anajua maisha aliyonayo ni ya watu walioishi karne ya 17. Kata huyo aliyembandika katika nyumba yake hawezi kuishi kwenye kibanda hicho hata kama imetokea usiku umeingia na hana pa kulala wakati yuko safarini.
 
Form IV - Shule ya Wasichana Rugambwa
Course ya Upishi (??)
Course ya Upishi (wa Viongozi) (??)
Muhudumu Katika Ndege (za Viongozi) (??)
UwT - Operative (todate) : Sina uhakika Aliingiaje kwenye National Security "Cycle"
Sijajua sasa u yudabulyuuti na ubunge wapi kwa wapi?
Lakini hawa jamaa zetu wamesahau sana kuwa nchi hii haitaongozwa na hao uwt kama ilivyokuwa kwa nchi za kisoviet. Twaelekea kwenye enzi tofauti sana. Kama si Leo kesho. Kamwe hatutatawaliwa kwa kutishiwa na watu wachache wanaojiita watu wa usalama. Wanaweza kutuua wote lakini historia itabaki kuwahukumu na mwisho wake haki itashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…