Phone lost

Nishafuta mkuu....
Kitu cha kwanza me simu yangu yeyote huwa nairoot then naifunga application inaitwa CEBERUS hii ukiiweka inaenda jificha lakini inalipiwa ukitaka ulinzi maradufu, ina maana hata mwizi akikuibia we utaweza kuipata simu yako kiulaini sanaa!!..
Au kama unataka unaweza ifungia simu MOBILE FREE TRACKER hii ukiifunga inaweza kuitrack plus kusoma txt hadi whatsapp za simu utakayoifungia.
NOTE:
Nimeifunga kutrack simu yangu kama back up ya CEBERUS!, lakini kuna majihad wanaifunga kwenye simu za wapenzi wao hii!.
 
Hapana sina undugu nao na mill 10 siwez lipa. Yap Naweza Ku-Root..
Google search "Exposed Framework" then install kwa simu yako!. Mengine yote utayakuta humo!.
 
Hapo kwenye kulipia sasa.
Bora nikae hv hv..
Wakiiba nitanunua nyingine...
 
Nimeshawatumia email... Huwa wanajibu kama wameipata?
 
Nimepoteza/ kuibiwa sim... Naomba kuelekezwa namna ya kuitrace au kama kuna anayeweza kuitrace tuwasiliane 0652823089

Fungua kesi kwanza Polisi ya wizi!
Lakini kesi itakuwa na mashiko mazuri na mafanikio iwapo tu simu uliyoibiwa ina risit au box lake kamili linaloonyesha IMEI namba iwe rahisi kuitrace!Kama hauna boksi lake,hata kama una IMEI namba na risit hauna ni ngumu kuthibitisha kama ni yako!!
 
Ninavyo vyote mkuu
 
HAIWEZEKANI HII KI2.. IPO BASED INDIA TU.. TZ hapa pambana na hali yako tu
 
Simu haina gn
Mimi kisimu changu cha samsung note kiliibiwa uzuri nilikua nisha set mitambo zaman jamaa nilimkuta tegeta ndo anatafuta mafundi
Hii comment yako inamsaidia nini mleta mada?
 
Nimeshawatumia email... Huwa wanajibu kama wameipata?

Hawajaanza kuwatumia msg watu wako waliopo kwa phone book kuwa

Shemeji Samweri kapata ajari anahitaji pesa umtumie kwenye namba hii baadae atakuludishia na elf 30 juu...?. Usipige simu mic mbovu tuma meseji tu.
 
Hawajaanza kuwatumia msg watu wako waliopo kwa phone book kuwa

Shemeji Samweri kapata ajari anahitaji pesa umtumie kwenye namba hii baadae atakuludishia na elf 30 juu...?. Usipige simu mic mbovu tuma meseji tu.
Hahahahahahahahah watanichomoa roho
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…