Phone: Wapenzi wa simu za Oppo

Phone: Wapenzi wa simu za Oppo

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo..

Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.

1.PNG

2.PNG

3.PNG

4.PNG

5.PNG

6.PNG

7.PNG
 
Napenda zenye Display full size sio Iphone Display ime minywa
 
Ila kwa kweli kutoa simu nyingi kiasi hicho ni kuchanganya watu tu
Ivi tofauti ni nini haswa
 
Ila kwa kweli kutoa simu nyingi kiasi hicho ni kuchanganya watu tu
Ivi tofauti ni nini haswa

hahahahaahahah kweli mkuu kuna najiuliza nini siri ya kutoa aina tofauti na unakuta zime tofautiana kidogo tu.
 
Napenda zenye Display full size sio Iphone Display ime minywa

full size ndo yenyewe na iwe na camere mbili zwe upande wa kulia kama oppo reno 4 lite
 
full size ndo yenyewe na iwe na camere mbili zwe upande wa kulia kama oppo reno 4 lite
Napenda sana haya mavitu alafu iwe display imetengeneza Edge kidogo kama Sumamaung Note 8 alafu Display Super Molded ukisoma kama PDF linaoneka kama karatasi lakawaida
 
Back
Top Bottom