Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hiyo wewe tu,majuu hayo mambo ya kawaida hasa kwa maceleb,kuchukuliana,kutemana,kurudiana,kuhongana,kugombana ndio ishu za kawaida,hakuna mapenzi zaidi ya sifa na pesa mwaketu,wivu ni wa sisi akina kalumanzilaAisee mwanaume mzima unaride gari alohongwa bibie na mwanaume mwengine....hata kama relashiop between JayZ and Riri is platonic, mimi naona nishai