Photo Of The Day: Kim Kardashian Latest Photos In White Bikini

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kim Kardashian is an American Television fashion designer, model and top actress. Kim Kardashian is seen in the white Bikini with her friends.
 
Hii ni ile picha ikatolewa katika jarida la Us Weekly
 
Hivi kanye west anatoka nje ya ndoa kweli???? Itakuwa maajabu!
 
Hivi kanye west anatoka nje ya ndoa kweli???? Itakuwa maajabu!

Saitoti kutoka nje ya ndoa hakusababishwi na sura mbaya za wenzi wa watoka nje. Kuna watu ukioneshwa picha za wenzi na za wa huko wanakotoka nje utashangaa kwan wenzi wamewazidi mbali hizo small houses. Ningeweka picha hapa kuprove hilo sems jf rules haziruhusu hilo.
 

Kweli mkuu ila kim daah huyu dada daaah,, wazazi walizaa wakati hawana stress kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…