Photo of the day

jamani mbona mimi naiona.imenifanya ni smile kwa siku yangu ya leo
 
Photo of the day



Ndo nini sasa hii?
 
jamani ndio niione mwenyewe tuu?mmmh maybe kuna kitu nimekosea
 
na wewe pia.....wapi leo?....wengine tumeshalipwa mishahara
 
Jamaa kaanza na mapemaaa!!!!!!!!!!!!LOL
 
Irudishe sasa hiyo foto yenyewe kwani hatuioni
 
itakuwa jini makata maana haoekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…