Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia namashaka mkuu.... Roma iliyoanza kujengwa 740 KK mwaka 1871 BK (miaka 2611 baadaye) ndio iko hivyo? Kuna mambo mawili, ama hiyo picha ni feki au ni ya viunga vya Roma; sio Roma yenyewe ya wakati huo (1871).
Miji ilyojenhwa wakati huo ilikua Tuscany huu ndiyo mji alizaliwa Michelangelo , Botticelli na wengine, kwa kifupi ulikua maarufu kwa art na architecture. Makao makuu ya Tuscany yalikua Florence.... Roma iliyoanza kujengwa 740 KK mwaka 1871 BK (miaka 2611 baadaye) ndio iko hivyo? Kuna mambo mawili, ama hiyo picha ni feki au ni ya viunga vya Roma; sio Roma yenyewe ya wakati huo (1871).
I have been to Florence.Miji ilyojenhwa wakati huo ilikua Tuscany huu ndiyo mji alizaliwa Michelangelo , Botticelli na wengine, kwa kifupi ulikua maarufu kwa art na architecture. Makao makuu ya Tuscany yalikua Florence.
Amazing! Rome, Florence, Venice, and Trieste, are places of history and arts! Venice is so interesting, ambako unakuta kwenda kwa jirani yako, yaani next house unatumia boat. See some of the photos: Summer School on Cosmology and Conference on Shedding Light on the Dark Universe with Extremely Large Telescopes - Italy (scroll down).How beautiful is she? Now she is under UNESCO protection.
Roma ya miaka hiyo ilikuwa kali kuliko hiyo picha,german ya miaka hiyo ilikuwa balaaView attachment 2038526
Wakati huu nchi za Ulaya iliyojulikana ki diplomasia na kibiashara ilikua England, France na Austria.
Hebu shangaa na wewe Mkuu! Julius Caesar akiitawala Uyahudi kutokea Rumi miaka kadhaa KK; enzi hizo amri ikitoka Rumi kila mtu akajiandikishe (sensa) kwenye asili yake; Yusufu na Maria (Yesu akiwa mimba) nao wakaenda kujiandikisha Bethlehemu huko, hiyo ikiwa 0BK; records zote hizo ziko Roma halafu Roma hiyo hiyo miaka 1871 baadaye ndio hiyo picha?Roma ya miaka hiyo ilikuwa kali kuliko hiyo picha,german ya miaka hiyo ilikuwa balaa
Hapa umetupiga kamba hakuna mwaka 0BK wala karne 0 BK hua tunaanza na 1 ndio maana utaona karne ya 17 ni miaka ya 1800s na sio 1700sHebu shangaa na wewe Mkuu! Julius Caesar akiitawala Uyahudi kutokea Rumi miaka kadhaa KK; enzi hizo amri ikitoka Rumi kila mtu akajiandikishe (sensa) kwenye asili yake; Yusufu na Maria (Yesu akiwa mimba) nao wakaenda kujiandikisha Bethlehemu huko, hiyo ikiwa0BK; records zote hizo ziko Roma halafu Roma hiyo hiyo miaka 1871 baadaye ndio hiyo picha?
Wee jamaa juzi tu hapa miaka 1300 hukoTena juzi tu hapa Marekani yote Kaskazini na Kusini ilishakuwa makoloni; juzi tu hapa Vasco da Gama alishaizunguka Afrika kwenda India kuchukua viungo; hakuna Roma ya namna hiyo!
AmetupigaHebu shangaa na wewe Mkuu! Julius Caesar akiitawala Uyahudi kutokea Rumi miaka kadhaa KK; enzi hizo amri ikitoka Rumi kila mtu akajiandikishe (sensa) kwenye asili yake; Yusufu na Maria (Yesu akiwa mimba) nao wakaenda kujiandikisha Bethlehemu huko, hiyo ikiwa 0BK; records zote hizo ziko Roma halafu Roma hiyo hiyo miaka 1871 baadaye ndio hiyo picha?
Tena juzi tu hapa Marekani yote Kaskazini na Kusini ilishakuwa makoloni; juzi tu hapa Vasco da Gama alishaizunguka Afrika kwenda India kuchukua viungo; Juzi hapa Church of England (Anglican) ilishaanzishwa; juzi hapa Lutheran na tens of protestant churches zilishakuwepo; juzi hapa Nabii Ellen na timu yake walishatabiri mwisho wa dunia ungekuwa 1840; nakataa hakuna Roma ya namna hiyo!