OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Wakuu khabari zenu, kwa anayefahamu hili tatizo tajwa hapo juu .."photoallergic contact demartitis" ni aina fulani ya allergy.
Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie. Ikiwa pamoja na dalili pamoja na tiba zake.
Shukrani.
Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie. Ikiwa pamoja na dalili pamoja na tiba zake.
Shukrani.