OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 May 6, 2018 #1 Wakuu khabari zenu, kwa anayefahamu hili tatizo tajwa hapo juu .."photoallergic contact demartitis" ni aina fulani ya allergy. Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie. Ikiwa pamoja na dalili pamoja na tiba zake. Shukrani.
Wakuu khabari zenu, kwa anayefahamu hili tatizo tajwa hapo juu .."photoallergic contact demartitis" ni aina fulani ya allergy. Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie. Ikiwa pamoja na dalili pamoja na tiba zake. Shukrani.