Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Jamani, samahani, kuna ndugu yangu mmoja kafeli shule, coconut kumkichwa haiendi tumejaribu kumsaidia shule kwake hamuna...mwishoni ameamua kuolewa...ninahitaji kumsaidia...anataka kufungua stationary, nimeshamnunulia printer, scanner, computer etc, kilichobaki ni photocopier,nimeona mpya ni garama sana, na ninatafuta zile kubwa kabisa ambazo zinafika hadi milioni mbili...Mimi nataka used, kwasababu hela inauma si unajua kusaidia ni moyo lakini isitoke hela nzito...kama kuna mtu anajua wapi wanauza photocopier used hapa Dar tafadhali naombeni mniambie....mwenye fununu tafadhali, mahali panapoaminika. asante.