asante sanaUsinunue tofauti na 2520 series...hutojutia
Chukua Xerox , nimeziona zikipiga kazi.naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
poaChukua Xerox , nimeziona zikipiga kazi.
Nimekupm namba ya mtum Mpigie huyu jamaa, muulize maswali yako yote kuhusu photocopy.
Baada ya hapo itakusaidia kufanya maamuzi,
NB- jamaa hauzi photocopy, ni mmiliki wa stationery tu. hivyo ongea nae alfu maamuzi mengine utajua mwenyewe sasa.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app