Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2074613
#1 Doris, Age 97
View attachment 2074615
Freddy, Age 67
View attachment 2074620
Becky And Dave, Ages 65
View attachment 2074625
The Belfon Family – Meg age 35
View attachment 2074627
Dale, Age 48
View attachment 2074628
Andy And Db, Ages 53 And 52
View attachment 2074630
Cody, Age 27
Hatari sana ndugu,wengi wetu kiburi kingi tulicho nacho kipindi hiki tupo timamu kiakili na kimwili at age hii ya 25-45 mwisho wake ni maumivu tuhiyo namba 1 hiyo ifike hali kama hiyo
iwe una watoto au hauna watoto
iwe uwe tajiri au masikini
km uliishi maisha ya HOVYO ya kutompendeza MUNGU
ukifika umri huo na hali hiyo acha tuu
kufa hufi maradhi huna ila lile jeraha la upweke ni hatari mno
umri huo huwezi kufanya tena kama yake ya zamani na ukute watu wa rika lako wote washadedi huna hata wa kumueleza kilicho moyoni mwako
Asikwambie mtu kuna umri unafika RAFIKI na Kimbilio lako la pekee anakuwa MUNGU
Vijana jitahidini kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU Uzee unakuja kifo kinakuja
Subhanallah!Hatari sana ndugu,wengi wetu kiburi kingi tulicho nacho kipindi hiki tupo timamu kiakili na kimwili at age hii ya 25-45 mwisho wake ni maumivu tu
Mungu atakupa umri mrefu ili utaabike na upweke coz you didn't treat well ndugu jamaa na watu wengine wa karibu kisa ulikuwa na pesa au ulijuana na watu sana wakubwa nk
Na hiyo kauli ya Steve Job ndo inanifikirisha mambo mengi sana hapa duniani [emoji22]View attachment 2075125