Photographer Captures People And Their Bedrooms To Show Their Different Ways Of Living

hiyo namba 1 hiyo ifike hali kama hiyo
iwe una watoto au hauna watoto
iwe uwe tajiri au masikini
uwe mtu maarufu au kayumba
km uliishi maisha ya HOVYO na ya kutompendeza MUNGU
ukifika umri huo na hali hiyo acha tuu
kufa hufi maradhi huna ila lile jeraha la upweke ni hatari mno
umri huo huwezi kufanya tena kama yake ya zamani na ukute watu wa rika lako wote washadedi huna hata wa kumueleza kilicho moyoni mwako

Asikwambie mtu kuna umri unafika RAFIKI na Kimbilio lako la pekee anakuwa MUNGU

Vijana jitahidini kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU Uzee unakuja kifo kinakuja
 
Hatari sana ndugu,wengi wetu kiburi kingi tulicho nacho kipindi hiki tupo timamu kiakili na kimwili at age hii ya 25-45 mwisho wake ni maumivu tu

Mungu atakupa umri mrefu ili utaabike na upweke coz you didn't treat well ndugu jamaa na watu wengine wa karibu kisa ulikuwa na pesa au ulijuana na watu sana wakubwa nk

Na hiyo kauli ya Steve Job ndo inanifikirisha mambo mengi sana hapa duniani [emoji22]
 
Subhanallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…