Photographers' Corner

picha hii nimeipiga SINGIDA katika bwawa linaitwa SINGIDANI.

camera iliyomika ni SONY DSC S930 cybershot 10.1MP.

Ilikuwa ni mida ya saa 6.00PM
 

Attachments

  • 1405369724536.jpg
    85.7 KB · Views: 2,176
Picha hii ya NGORONGORO CRATER kwa juu. nimeipiga kwa kutumia simu ya NOKIA 2730C 2MP camera ilikuwa ni mchana mida ya saa 1300hrs
 

Attachments

  • 1405370028599.jpg
    37.7 KB · Views: 2,065
Humu wengi mnatumia DSLR si ndio? Tunaomba muwe mnaweka na jina basi la camera zenu.. Good job wakuu

Hata mimi na kuunga mkono ,pia hata setting za photo,mi ningeenda mbali zaidi itakuwa na manufaa zaidi kama ni picha uliyopiga mwenyewe hasa kwa camera aina ya DSLR
 
Ni safi sana na wala sijaona matusi ya unguni humu na tafauti na kurasa zingeni ni poa kabisa
 
Hizi zimepigwa na Camera aina ya Nikon D7100, maeneo ya msimbazi street. Mpiga picha bado sina uzoefu sana na picha hizi sijafanyia editing yoyote. Bado sijadownload free light room 😄

STILL LEARNING NIGHT PHOTOGRAPHY ....















 
Ndinda hata mimi najifunza hizi picha ulitakiwa kutumia tripod/monopod kuzipiga ndio maana ile picha ya mwanzo car trails hazijaonyoka ,na kupiga long exposure lazimautumie tripod, cable realise au remote au una set self timer ,bado ni picha nzuri shida pia wenye magorofa kukuruhusu upande juu kwenye maghorofa yao.Pia inabidi uset ISO 100 kwaajili ya kupunguza noise,sababu hizi camera nyingi za kawaida kwa low light ni shida angalau zile Full Frame hata ukiset ISO zaidi ya 400 inakuwa poa kwa watu wa Canon 6D na 5Ds nakuendelea ndio zinafaa hasa kwa low light pia unaweza kupunguza noise kwenye LR au Adobe.
 
Mdau hiyo picha ulipiga saa ngapi, wakati?



Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…