Photographers' Corner

Nilikuwa sijui kama kuna uzi kama huu. Nilikuwa na picha nyingi nimepiga kwa simu. Ngoja nizitafute.
 
Maneno ya kwenye magar
 

Attachments

  • 1432592263303.jpg
    30.7 KB · Views: 1,445
Shot: Landing Gear
Camera: Canon 550D
Focal Length: 250mm (EF-S 55-250mm f/4-5.6 IS II)
ISO: 100
Exposure: 1/640
Location: Selander Brigde, Dar es Salaam.


Shot: Sister Peaks
Camera: Canon 5D Mark III
Focal Length: 105mm (EF 24-105mm f/4.0 IS L)
High Dynamic Range
Location: Himo Weigh Bridge, Kilimanjaro.



Tukutane instagram elie_chansa
Tuambatane fb: Street Rover https://www.facebook.com/pages/Street-Rover/873467019340698
 
DryPort Isaka.....mwonekano wa sasa 2016...baada ya shughuli zote kufa..
 

Attachments

  • DSC00001.JPG
    225.8 KB · Views: 428
Wow! this is beautiful!!! aliyepiga yupo vizuri
 


Duh, aisee...wewe unatafuta cheo...kumbe Tanzania tunaweza
 
Ndinda weka majina ili iwe rahisi kujua big up mkuu
 


Hii imepigwa kutoka kwenye chopper kwenye misitu ya congo...DRC...U can see natural resources ambayo wanayo hawa jamaa.
Hii hata Tanzania ipo sana, IPO mbeya vijijini mpakani na makete kuna misitu kama hii sema huwa hatupendi vyetu
 
Ndinda weka majina ili iwe rahisi kujua big up mkuu
Umenikumbusha mbali mkuu, Wakati huo mkuu sikua najua chochote kuhusu camera, nashukuru sasa hivi naweza kupig picha kidogo. ukitembelea uzi wa jiji la dar, picha nyingi za hivi karibuni nimepiga mweyewe. hizo hapo za juu ni zamani sana wakati ado mdogo nilikua school kati ya 2008 na 9
 
Habari wakuu. naipenda sana taaluma hii. natamani kukutana na photographer yeyote ili nimuulize maswali mawili matatu, hata mm nahtaji baada ya masomo yangu nifanye mishe hii
 
Habari wakuu. naipenda sana taaluma hii. natamani kukutana na photographer yeyote ili nimuulize maswali mawili matatu, hata mm nahtaji baada ya masomo yangu nifanye mishe hii
Hata wewe pia unaweza kuwa...just ukiwa eneo ambalo ni zuri take a snap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…