Photographers' Corner

Shanghai,[emoji630]
Asante man,nadhani huko ndo panaswa kuitwa duniani Konge.
But kwetu huku tutaendelea kujiona na kujisifia na Paradiso yetu hakunaga km Afrika,hakunaga km Tanzania!Am proudly to be in it!
 
Nashukuru sana nilijifunza hii kwenye kozi moja ya kupiga picha, hii hata kwa watengeneza filamu wanaizingatia, tazama movie zote utaona wanavyoweka watu kwenye hizi points za intersection.

Kujazia kikubwa unapopiga picha basi picha itoe maelezo uliyokua unataka yatolewe na picha, mfano unapiga picha ya mtu subject yako ni mtu basi jitahidi ajae kwenye frame badala ya kupiga kutoa na majengo, barabara, anga sababu hizo si kusudio lako labda kama unataka kuonesha mtu kasimama au kaka kwenye majengo gani yaan subject ni mtu na majengo hapo ruksa kutoa vingi

Few years from now you may wish you should have started today...
 
Sun set at Forodhani Zanzibar

Sunrise at Saadani National Park


Few years from now you may wish you should have started today...
 
Habari za masiku,upo,bado nakukumbuka na nakushukuru sana kwa kunisaidia katika safari yangu ya kujifunza photography ulinitumia video ya Karl Taylor ambayo ilinisaidia sana,na sasa natembea kifua mbele unaweza kuziona baadhi ya picha zangu hapa zikielezea utalii na vivutio mbalimbali vya wilayani kwangu Kyela,nchi yangu na sehemu zengine za nje ya nchi nilizopata tembelea.Ni siku nyingi hope utanikumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…