We unataka kuwa kama James Delicious inakutoshaSi kila mtu anataka kuwa kama uhuru, ndio maana yeye anakula cha arusha wakati mimi situmii, ndoto yake ni kuwa mwanasiasa ilhali mimi sio.
Kwa hiyo sioni fahari kuwa kama yeye sababu nami ninaishi ndoto zangu na uhuru anaishi ndoto zake.
Nakushangaa kwanini mimi kutaka kujua zaidi juu ya mke wake imekuuma sana, hivi nawe umeoa mke mwenye umri sawa na rais wa Ufaransa au?
Ikiwa iliona taabu kunijibu kistaarabu ungepita kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]we get the point
meanwhile in uganda after
uhuru kenyatta left kenya to have a handshake with donald trump in europe,this happened.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapa kazi tu.[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ndugu zangu wakenya na watanzania wenzangu, niwakumbushe tu kuwa JK alifanya sana hizi safari hadi tukaanza kumuita majina ya ajabu ajabu!
Kama hilo halitoshi, wakenya hawa wanaolinga hapa kwa haya mapicha kuna sehemu wanalalamika kuhusu ziara za rais wao!
Back
YahooNEWS
Kenyans mock "visiting" president over frequent foreign travel
[https://www]
By Edmund Blair
ReutersDecember 7, 2015
[https://www]
Kenya's President Uhuru Kenyatta salutes guests as he prepares to receive Pope Francis at the State House in Kenya's capital Nairobi, November 25, 2015. REUTERS/Thomas Mukoya
More
By Edmund Blair
NAIROBI (Reuters) - Kenya's President Uhuru Kenyatta has been forced to defend his frequent travel abroad after an outbreak of mass ridicule on the Internet from Kenyans mocking him as a foreign leader making a fleeting visit to their country.
Kenyatta returned last week from trip abroad that included a summit in South Africa, a climate conference in France and a Commonwealth meeting in Malta. He is due to travel to Rwanda later this week.
Kenyans have been trading photos online that depict highlights of his "visit" to Kenya. In recent days, the criticism has gone viral on the Internet, with the hashtag [HASHTAG]#UhuruInKenya[/HASHTAG] surging in rankings of posts on Twitter.
A popular road traffic information website with more than 300,000 followers joked that a major Nairobi street had to be closed so Kenyatta could stay at the Kempinski Hotel, where U.S. President Barack Obama lived during a visit in July.
Photos uploaded by Twitter users depict him on the typical itinerary of a visiting dignitary: signing a visitors' book, touring a national park, greeting religious leaders and meeting other politicians, labelled as "hawkers".
In a poor country where corruption has been a central issue for decades, the mockery has struck a chord with a public angry at the lavish lifestyles of the political class. Presidential spokesman Manoah Esipisu was obliged to defend Kenyatta's foreign trips at a news conference on Sunday.
"The cost is really nothing compared to the result," he said, noting a $1.5 billion Chinese loan secured during the summit meeting in South Africa as one example. "We cannot claim the leadership position we have in the region yet shun our obligations to deal with regional issues."
As for the size of delegations, "it would be folly to send two lawyers" to Paris climate talks when other countries sent dozens, Esipisu said.
The Daily Nation, one of Kenya's leading newspapers, said the president had been on 43 government trips since taking office in 2013, while his predecessor President Mwai Kibaki made just 33 in 10 years in power.
"It sometimes feels as if the president is more comfortable away than in Kenya," said John Githongo, one of Kenya's most outspoken anti-corruption activists.
Opposition CORD coalition spokesman Dennis Onyango said that while the head of state had to travel, his delegations included "quite a number of joy riders, people who really don't have a role."
Kenyatta's jet-setting ways are being compared with the cost-cutting announced by the newly elected president of neighbouring Tanzania, John Magufuli, who since taking office last month has restricted official travel and banned perks like government-printed Christmas cards.
Twitter user Nyaigoti G. Nyasani suggested Kenyatta travel "to Tanzania and learn from Magufuli." User Emmanuel K. had another solution. Addressing Tanzanians, he asked: "Could we please swap presidents for 2 months?"
(Additional reporting by Duncan Miriri and Edith Honan; Editing by Peter Graff
Kenyans mock "visiting" president over frequent foreign travel
Na kama mtu akija hapa na kusema hii ya zamani aombe nimletee ya hivi karibuni!
Tuwe na akiba ya maneno!
Of course huyo dikteta mshamba atajaribu ujinga but huko ni Tanzania. Mahali mtu anang'olewa makende akiongea dhidi ya rais pombeIdiot is the one talking shit like you while hidding behind fake ID. If really believe in yourself show off your real ID an see what Real man (JPM) does to you! Fuckin
Usishtue kadoda. Unajua amezoea kurudia point moja kwa sababu bongo lake ni kawaida na Watanzania wote. Bongo duni kabisa [emoji23] [emoji23]we get the point idiot...no need to copy it thrice...kenyans are sharp...not like tanzanians
Usishtue kadoda. Unajua amezoea kurudia point moja
meanwhile in uganda after
uhuru kenyatta left kenya to have a handshake with donald trump in europe,this happened.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapa kazi tu.[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kumbe unaelewa eenh! kuwa hata Tanzania criticism ipo, tena kubwa pengine kuliko Kenya!Kenya sio Bongo, kila mtu anauhuru wa kusema lolote, hivyo, huwezi tarajia walio upinzani wasinene hayo!! Hiyo ni kawaida Kenya Criticisms is on everything! But don't think what is said there is for every Kenya! Those are opinions of the few
Acha kupayuka kibwege hapa wewe, hebu lete ushahidi wa hayo maneno yako! Au unatafuta kuongeza idadi ya pointless comments!Of course huyo dikteta mshamba atajaribu ujinga but huko ni Tanzania. Mahali mtu anang'olewa makende akiongea dhidi ya rais pombe
SAM999 YOU SEEM SO PUMPEDUP ABOUT THE MORON D,DUMP..
Shika adabu yako wewe imbecile! Vibaraka wakubwa mlio tawaliwa na watu weupe mpaka vizazi vyenu vyote! Mnao ishi kwenye NO MANS LAND! Mtumwa mambo leo! Al-WatanMagufuli is a first class idiot.
Just watch how the James Sinclairs of this world take him to the London cleaners.
Hoja ya kwamba Magufuli amekurupuka na wawekezaji wa nje wa sekta ya madini watamshinda kwenye kesi za kuvunja mkataba na kututia hasara kama IPTLhujaijibu.Shika adabu yako wewe imbecile! Vibaraka wakubwa mlio tawaliwa na watu weupe mpaka vizazi vyenu vyote! Mnao ishi kwenye NO MANS LAND! Mtumwa mambo leo! Al-Watan
je mke wa macronHongera zake ikiwa anasaka fursa za watu wake, wengine lugha inatutesa.
Hivi mbona mkewe Kenyata yuko kama mzazi wake!!
Naomba kujua zaidi
Wewe ni mwehu mkubwa sana! Nilishawaambia haya mambo mnayoshobokea huku kwetu yanafanywa na watoi wa form 2.Kenya stands tall in Africa, and engages with the mighty....... wazungu hata wanajua if there is a country called Tanzania Kweli?
Fursa kama hizo Kenya huwa haikosi kitu,na ndiyo inazid kupaa kiuchumi katika ukanda huu na Wananchi wake kuwa na kipato cha kati
This is just fucking pathetic, what's the whole point of shaking Trumps hands and looking as if he'd seen his dead father again? What did he gain for this? Look how happy Uhuru's wife looks shaking mkono wa mzungu, just utterly pathetic. Take this crap out fo here please.
Hawaishii kushikana mikono tu kama udhaniavyo,baadaye wanakuwa na kikao cha faragha,maana hicho ni kikao kilichowakutanisha baadhi ya Nchi Tajir na baadhi ya Nchi kutoka Afrika kama Kenya, Nigeria na zinginezoShaking hands na mzungu kwa uwoga ni fursa, really? Mhhhhh, sawa!