Photos From Paul Okoye & Anita Isama Traditional Wedding Today

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
It's Anita and Paul's big day today! Here are photos from the venue - Aztech Arcum on Stadium Road in PH City where Paul Nonso Okoye of P-Square and Anita Tonye Isama will become one in the eyes of tradition.

more photos loading





Hmmm, you may feed your bride.....




 


awa ni baadhi ya wageni tu,wengine bado hawajafika,wakifika nitatupia mapicha apa apa JF
 
Ulinzi mkali,safari hii hakuna mtu kuzamia kama .............................alivyozamia

 
wageni awa,shughuli bado haijaanza,ikianza mtaona picha apa apa JF

 
Shughuli ya harusi hii ilionyeshwa kwenye channel ya hip DSTV. Ilikuwa poa sana
 
Aww it is official.After 12 years together ,he finally made her a "Mrs"..He even sang for her....

 
Money stunna tunakushukuru kwa kutuhabarisha lakini jitahidi kujua tofauti ya maneno haya:
APA vs HAPA
AWA vs HAWA
Na mengine kadha wa kadha, maana yakitumika ndivyo sivyo yanaharibu utamu wa habari!!
 
Money stunna tunakushukuru kwa kutuhabarisha lakini jitahidi kujua tofauti ya maneno haya:
APA vs HAPA
AWA vs HAWA
Na mengine kadha wa kadha, maana yakitumika ndivyo sivyo yanaharibu utamu wa habari!!

hapo lipi ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…