PHOTOS: George W Bush in Tanzania

Mbona nyie mnakuwa na vision ndogo kiasi hicho?.HAPA CDM Wanahusikaje sasa?.Acheni mambo yenu nyie.Araaaa!!!!.
 
fursa hii ingeenda kenya au Uganda wenzetu wangechangamkia wakati sisi fursa hii tunaitumia kumpuuza JK kwa itikadi zetu za vyama vya siasa
 
Mbona nyie mnakuwa na vision ndogo kiasi hicho?.HAPA CDM Wanahusikaje sasa?.Acheni mambo yenu nyie.Araaaa!!!!.

huna maono kama hujui misamiati ya wafuasi wa chadema. huhitaji kwenda vidato vingi na kufuatilia mijadala ya JF utawajua hata kwa majina na wa ccm utawajua pia
 
Nasikia wale wagonjwa wengi wanaolala mule kwenye mabustani kwa kukosa vitanda walipigwa partration na kufichwa kwa muda hospitali za jirani ili kuficha aibu kwa Bush!...
Funika kombe Mwanaharamu apite!...Tumethubutu, tumeweza tunasonga Mbele!

Yanachekesha lakini yanaskitisha zaidi.
Huu ni uzezeta
 
Mbona nyie mnakuwa na vision ndogo kiasi hicho?.HAPA CDM Wanahusikaje sasa?.Acheni mambo yenu nyie.Araaaa!!!!.

unashangaa nini amekugusa pabaya? wala hajaomba kadi ya chama chako lakini lugha yako tu inatosha kuonyesha kwamba na wewe ni mfuasi wa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nasikia wale wagonjwa wengi wanaolala mule kwenye mabustani kwa kukosa vitanda walipigwa partration na kufichwa kwa muda hospitali za jirani ili kuficha aibu kwa Bush!...
Funika kombe Mwanaharamu apite!...Tumethubutu, tumeweza tunasonga Mbele!

sisi kama Jf tumewahi kuwa na mjadala wa kuwasaidia hawa wenzetu au jukumu letu ni kukosoa tu
 
Kama viongozi wetu wote na raia kwa mamillioni walimiminika Loliondo kwa babu mnategemea nini? - Hayo ya Bush ni kati ya mila na desturi za Wadanganyika..
 
sisi kama Jf tumewahi kuwa na mjadala wa kuwasaidia hawa wenzetu au jukumu letu ni kukosoa tu
No, sio kukosoa tu.
Kuna mambo mengi sana ambayo kwa kusema kwetu namna hii tu ,yametekelezwa!
Ujue mara zote hawa wakubwa wetu wanapima reaction yako yenu, ndipo wanatekeleza ilani zao kwa wananchi!
Kuingilia JF kwa maana ya kutoa physical msaada ni baada ya kuona masikio ya watu fulani yameziba!
 
Kaja tu kupiga picha na sio vinginevyo
 
Kikwete amepiga picha na hao wagonjwa hadi anajisikia aibu mwenyewe. Yaani hadi Bush aje ndiyo aende kutembelea wagonjwa.

Mwita25,ungekuwa ni wewe na hali ya afya aliyonayo Kikwete ungekuwa unakwenda kuwatembelea watu ambao kila ukiwaona wanakukumbusha matatizo yako??? Kwa hilo paradoxically simlaumu hata kidogo!!

Kama mnahitaji maelezo zaidi Muulizeni Dr. Slaa aliposema wagombea urais wote wapimwe na madaktari"super-parties" na matokeo yake yatolewe hadharani alikuwa anamaanisha nini - sitaki kuongeza mengine!!!!!
 
siasa nchi hii zimefika pabaya hata misaada kwa wenzetu wanaopambana na uhai tunaingiza ubush na ukikwete?
Apart from politics sometimes is good to remember that: There is no permanent friend for America but permanent interest.
 
Bush alikuwa rafiki mkubwa wa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…