Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
Miaka takriban 11 imetumika kukamilisha jengo 1. Sasa mpaka hii city ikamilike si itachukua zaidi ya miaka 500!!
False info Jane, I just made up dates and stuff I knew about that school to pull the guy in, it was another era in Jf then. Shule ya upili sikusomea Kajiado lakini shule ya msingi nilikuwa huko home county. I know Maasai Girls and Boys, Oloolaiser, Laiser Hill I had friends there.You just disclosed your year of birth.
Hivi unajua ololaiser high,dawamu school & maasai girls?
hehe wazee wa olkejuado wengi saana humu, wazee wa oyengi papa, dorms zao kule elgon , kenya, mara, longonot,aberedares kili 1 and 2 , ruwenzori etc na yule mwalimu wa computer mr Junk!False info Jane, I just made up dates and stuff I knew about that school to pull the guy in, it was another era in Jf then. Shule ya upili sikusomea Kajiado lakini shule ya msingi nilikuwa huko home county. I know Maasai Girls and Boys, Oloolaiser, Laiser Hill I had friends there.
Haha! 😀 Ndio maana uliniuliza siku moja kuhusu shule yenyewe? Ni shule famous sana Kajiado na watz wapo wengi ila sikusoma huko, najua jamaa wengi sana ambao walisoma kwenye shule hiyo. Kuna jamaa pia ambaye alikuwa anamchinjia madam, mwalimu.hehe wazee wa olkejuado wengi saana humu, wazee wa oyengi papa, dorms zao kule elgon , kenya, mara, longonot,aberedares kili 1 and 2 , ruwenzori etc na yule mwalimu wa computer mr Junk!