Photos: Mansion Owned By Rappers Worth $9M And Above

Jamani hizo mbna ni mapicha tu za huko gugo
 
Kumbe ya Jay Z, mi nilidhani ya Baby Madaha au Diamond Platinumz....manake vijana cku hizi kila cku lazima tuone mafotograph ya mijengo yao lakini ajabu ni kwamba mijengo yote haijaaisha!
 
Aisee kuna watu wanaishi jmn,..nikiangalia napokaa,mhh..hzi pesa tusizake kwa bidii tu kwa kweli,nime'admire sanaa hzo nyumba
 
Hivi kumbe wengine tunasindikiza wanaoishi duniani?
 
Sasa daah !! Hao nao kuna vitu wanavimisi mjue acheni tuu!
 
Birdman ana Mi Cribs Kibaoooo, hiyo ni moja Wapo tu
 
rick ross ana nyumba ina vyumba 109 ilikuwa ya hollyfield sijui kanunua milioni ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…