Photos of a house for sale

DICXON

Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
27
Reaction score
11


HOUSE FOR SALE, IT'S LOCATED AT MBAGARA, MAJI MATITU-MZAMBARAUNI, DAR ES SALAAM. THE HOUSE IS NEW, IT HAS 3 BEDROOMS INCLUDING ONE MASTER BEDROOM, 3 SITTING ROOMS, FULL TILED, ELECTRICITY AND WATER INSTALLED, FENCED IN A SURVEYED AND PLANNED AREA, ALL NEARBY HOUSES ARE FENCED. LOCATED 150 M FROM THE MAIN ROAD. THE PRICE IS USD 100,000/= (Fixed price) INTERESTED PERSON CONTACT ME THROUGH 0688 678 407. (No middle man required)
 
dush! mkuu $100,000 ghali kwa hiyo nyumba but thanx
 
mbagala maji matitu kwa 150 milion????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbagala maji matitu kwa 150 milion????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kaka, inawezekana hujawahi kufika hapo, unapasikia tu? ila ni sehemu moja ya ukweli sana. Angalia vizuri hizo picha, hapo ni sehemu ambayo ni planned, sio makazi holela, na hapo hakuna nyumba hata moja ambayo haipo kwenye fence. so bei ni hiyo 150 M kwa sababu ipo Mbagala, ingekua kama Masaki hivi ingekua kama 250 m.
 
If i buy a plot for 25m, then i can construct a house equivalent to that for less than 75m....and i invest the 50m in a nearby pub....ndovus etc!
 
mh, mdau hii nyumba ilishawahi kuwekwa hapa jamvini kuwa inauzwa kipindi kirefu sana kilichopita. Ina maana ilikuwa haijapa mteja au unataka kuwaingiza watu mjini?
 
mh, mdau hii nyumba ilishawahi kuwekwa hapa jamvini kuwa inauzwa kipindi kirefu sana kilichopita. Ina maana ilikuwa haijapa mteja au unataka kuwaingiza watu mjini?

Duh, hii sio kweli kaka, hii nyumba ndo imemaliziwa kujengwa last week. wala haijawahi kutangazwa kuuzwa....
 
tehe dola laki moja mbagala kabsaaa maji matitu kabsaaaaaaaaa!!!!! thanks baba
 
mh!! naona nitaishia kupanga au nikajenge Mlandizi ama chalinze!!
 
mbagala..usije ukakuta nje jalalaaaa...lol
 

hope u will get a buyer lol! na kwa nini unatangaza kwa dola wakati nalipwa kwa shilings? kaitangaze USA.
 
umeona hilo, biashara za kitz ni za kihuni sana na ulimbukeni, yaani wewe mzawa na unauza kwa wazawa eti unaweka midola, hiyo ni kwa ajiri ya nani? kwani ukisema tu milion 150 hutaeleweka?
kuelimika sio kwenda darasani.
hope u will get a buyer lol! na kwa nini unatangaza kwa dola wakati nalipwa kwa shilings? kaitangaze USA.
 
Napanga kununua house böngo lakini kwa bei hiyo mh.
 
Mi sijakuelewa kabisa hivi unauza picha au nyumba??!!! kama ni picha basi hiyo bei kiboko 100,000 USD, ziko ngapi kontena milioni au????!!!!!!!
 
Humu kuna watu wanaleta maksihara! 100,000Usd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…