kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Congrats,ingekuwa bongo hapo Magu angefanya mradi huu wimbo wa taifa na kutukana watangulizi wake na maccm yangeimba pambio kila forumUhuru has commissioned the construction of JKIA to Westlands expressway today.
In some stretches it is elevated.
This one is surely going to change the face of Westlands, and Nairobi.
The estimated completion date is December 2021.
It is a toll road.
View attachment 1234980View attachment 1234981View attachment 1234982View attachment 1234983
Kwahiyo unahisi kwa upande wa TZ hakuna mradi kama huo ambao Magufuli alisha uwongelea....Kunakitu kinaitwa Kibaha Express loading very soon..Congrats,ingekuwa bongo hapo Magu angefanya mradi huu wimbo wa taifa na kutukana watangulizi wake na maccm yangeimba pambio kila forum
It is Chinesed owned...?? Mimi nilijua ni mradi wa mifuko ya kijamii Kenya...(NSSF)Kutakuwa na Tolls I hear,
And It is Chinese owned.
But hii iko poa, Ni ya kibabe.
Picha za Kibaha loading soon? Sisi tunaenjoy Thika road 8 years now na wewe hapa unapigia sisi kelele juu ya barabara ambayo haijakamilikaKwahiyo unahisi kwa upande wa TZ hakuna mradi kama huo ambao Magufuli alisha uwongelea....Kunakitu kinaitwa Kibaha Express loading very soon..
It is Chinesed owned...?? Mimi nilijua ni mradi wa mifuko ya kijamii Kenya...(NSSF)
Bongo hakuna toll road!! Dar unaisikia tu wewe! Halafu toll road siyo kitu cha kujivunia.Nchi nyingi au tuseme zote isipokuwa Bongo kuna tolls. Ukisafiri kila baada ya KM kadhaa inabidi ulipe toll siyo nyingi mfano US it is about 2.50us dollars, Thailand unalipa equivalent na 1 dollar, Myanmar ukienda vijiini unalipa about 1 us dollar lakini ni kila count yaani wilaya. Hizo pesa ndo zinasaidia miundombinu kuendelea. Barabara zipo safi kabisa. Siyo sisi unalazimishwa kulipa kwenye foleni tena mabasi tu. It does not work like that..