Hii sio PHP project hauwezi tumia Apache httpHabari wadau !!
Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site
Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php Project nimeiokota huko mtandaoni mm nataka ni miirun ioneshe website
View attachment 1995649
View attachment 1995650
index.phpHabari wadau !!

Habari wadau !!

Ili issue ili malizika bro ni kwa sasa naparamia popote baadae ndio nichague wapi ni maste master of onewe jamaa, juzi ilikua vb, leo php
em tulia na kimoja, concenrate huko
Hiyo sio php ni jsp na ili ifanye kazi inaitaji tomcat tatizo la jamaa wanapenda mteremko hapo kaokota mfupa kaacha nyamawe jamaa, juzi ilikua vb, leo php
em tulia na kimoja, concenrate huko
Kwel mjomba ni jsp na sio ph io tomcat naidownload sasa hv ila nikitaka kurun jsp nafanyajeHiyo sio php ni jsp na ili ifanye kazi inaitaji tomcat tatizo la jamaa wanapenda mteremko hapo kaokota mfupa kaacha nyama
Asamte mdau nimefanikiwaHiyo sio php ni jsp na ili ifanye kazi inaitaji tomcat tatizo la jamaa wanapenda mteremko hapo kaokota mfupa kaacha nyama