Physics form V & VI (home tuition)

Physics form V & VI (home tuition)

anneyfr

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
19
Reaction score
5
Pata elimu bora na ya uhakika kwa somo la physics kwa wanafunzi wa A-level (form V & VI),
Naweza kukufikia zaidi kwa urahisi kwa wale wanaoishi Dar es Salaam maeneno ya Mwenge,Msasani,Mikocheni,Teget a na maeneo yote ya Bagamoyo road.
Nitakufundisha/kumfundisha mwanao na kuhakikisha anapata ufaulu mzuri katika somo hili la Physics.

Wasiliana nami kwa;
Phone: 0718763293
Email: jkiangis@gmail.com
 
good boy,mungu atakusaidia,yaani mpaka unataka kupiga pindi la physics form four au six bas ww najua upo chuma,all the best bro
 
Back
Top Bottom