Pata elimu bora na ya uhakika kwa somo la physics kwa wanafunzi wa A-level (form V & VI),
Naweza kukufikia zaidi kwa urahisi kwa wale wanaoishi Dar es Salaam maeneno ya Mwenge,Msasani,Mikocheni,Teget a na maeneo yote ya Bagamoyo road.
Nitakufundisha/kumfundisha mwanao na kuhakikisha anapata ufaulu mzuri katika somo hili la Physics.