khalifa kijangwa
Member
- Jun 2, 2013
- 6
- 0
kwanini isiwe myaka yote iwe mwaka huu watu waliofeli sana
msije kutupasua miguu badala ya kichwa ,kiri kuwa wewe ni kilazakwanini isiwe myaka yote iwe mwaka huu watu waliofeli sana
physics is compulsory as well as biology anc chemistrymay be medical experts watujuze which is more relevant to studying medicine: Physics and biology au chemistry and biology.
physics is compulsory as well as biology anc chemistry
yote ni muhimu sana kwenye medicine hasa chemistry na physics uwe umefaulu vizuri medicine haichukui watu hovyo kichwani aiseenilidhani bio chemistry inayo uzito zaidi hasa ukizingatia recent advances in medicine mfano stem cells research.