Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Yaani mkuu umeniwahi. Nimeandika nikajikuta nafuta. Avatar Avatarbadili kwanza avatar
unaijua chand?Nahitaji kufanya somo la physics ili niweze kusoma course ya orthopedic for fun.
Nilihitimu fourth 2009 na sikufanya Kabsa physics
Inawezekana???? ππ
Mkuu,sikufanya hilo somo kwa kuogopeshwa na jamaa nilipoenda form one day one Hata sijasajiliwa. So let me give it a try sio lazima nipate Aunaijua chand?
Sifanyi ili niende popote. In short I have nothing to loose in this but I want to give it a try.Kwa avatar hiyo hutaweza hakuna mahali unaenda
Hayo yote nimeyafanya. Sitafuti pa kutokea coz I have my own projectsMkuu, em fanya maisha, jikite sana kwenye utafutaji wa pesa. 2009 mpaka sasa si mchezo. Tafuta hela, achana na ukoloni
Vipi lakini Mkuu Inawezekana?sawa kila laheri katika kusoma hiyo physics
Good luck people like you are the one we need the mostSifanyi ili niende popote. In short I have nothing to loose in this but I want to give it a try.
Asante sana mwamba.Good luck people like you are the one we need the most
Poa bossUnaweza inawezekana and you gonna make it mkuu, physics ni somo rahisi sana. Kuna kitabu kinaitwa Nelcon na university physics tulikuwa tunakata maswali na tunajua solutions na majibu yake. Utapiga paper kama private candidate.
suala dogo sana hiliVipi lakini Mkuu Inawezekana?
Ok Mkuu. How?suala dogo sana hili