Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.

Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani

1.
810409089a84b15f22d66a5d5f6cc2e0.png

2.
download.jpeg

3.
images (2).jpeg

4.
images (3).jpeg

5.
Mural_del_Gernika.jpg

6.
download (1).jpeg

7.
download (2).jpeg

8.
download (3).jpeg

9.
download (4).jpeg

10.
download (5).jpeg

Wataalam wa mambo ya sanaa na history tunaomba madini yenu.
 
Apo nazijua The Monalisa na The last supper by Leonardo da Vinci
Starry night by Vincent Van Gogh
A girl with a pearl earring by Johannes Vermeer.
The creation of Adam by Michaelangelo

Nadhani sababu za umaarufu wa izo picha unatokana na kwamba zipo kwenye majumba ya historia (museum) makubwa duniani yanayotembelewa na mamilioni ya watalii.
Pili ni sanaa za zamani.
Tatu zilizochorwa na wachoraji mashuhuri na maarufu duniani katika sanaa ya uchoraji.
Kingine zinapewa promo na wamarekani kupitia Hollywood n.k
 
Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.

Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani

1.
View attachment 2117382
2.
View attachment 2117383
3.
View attachment 2117384
4.
View attachment 2117386
5.
View attachment 2117389
6.
View attachment 2117390
7.
View attachment 2117391
8.
View attachment 2117393
9.
View attachment 2117394
10.
View attachment 2117395

Wataalam wa mambo ya sanaa na history tunaomba madini yenu.
Hujaweka ya Yesu, ndo inaongoza kwa umaarufu na kuuzwa.
 
Umaarufu wa wachoraji na ukongwe wa picha umechangia, kwa mfano huo mchoro wa monalisa alichora Leonardo da'vinci miaka hyoo kwahyo lazima uwe expensive maana da'vinci akua MTU wa kisport sport
 
Hazina cha maana, basi tu binadamu ndivyo tulivyo...
 
Back
Top Bottom