Apo nazijua The Monalisa na The last supper by Leonardo da Vinci
Starry night by Vincent Van Gogh
A girl with a pearl earring by Johannes Vermeer.
The creation of Adam by Michaelangelo
Nadhani sababu za umaarufu wa izo picha unatokana na kwamba zipo kwenye majumba ya historia (museum) makubwa duniani yanayotembelewa na mamilioni ya watalii.
Pili ni sanaa za zamani.
Tatu zilizochorwa na wachoraji mashuhuri na maarufu duniani katika sanaa ya uchoraji.
Kingine zinapewa promo na wamarekani kupitia Hollywood n.k