Mzee wa 'Sold Out' naona safari hii kumebuma mpaka kaamua aingie mwenyewe mtaani kuuza tiketi
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Hali c shwari kaamua kuingia mzigoni mwenyewe uchumi umekaba
Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..Usawa huu anaweka kiingilio elfu 30 akati wengi wa mashabiki wake ni watu wa kipato cha chini
Kwa shooo gani kwa nyimbo zipi nitoe buku 30 ndugu yangu
Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..
Ni dizaini kama Obama 2008 alipoungana na volunteers wake kupita mitaani jimbo la Iowa kugonga mlango nyumba kwa nyumba kuomba kura.. Kwa nyinyi watoto wa kariakoo mtasema "Obama maji yako shingoni" lakini sisi watoto wa madale tunasema "making personal connection with your supporters".!!
That means alot kwa fans.. But hamuwezi kuelewa hilo watoto wa kariakoo [emoji23]
Ukitaka show ya Elfu 10 subiri show ya "yeeeeeeaaaahh".!! [emoji23]
And kwa taarifa tu, Tiketi zimeisha.. Subirini kesho kwenye show mtapaa majibu [emoji123] [emoji123]
Nifah natamani nirudi haraka niwahi twende kwenye show! Unakumbuka tuna complimentary tickets mbili za VIP [emoji39] [emoji6] [emoji4]
Kwasabu yapoWatu hamkosi cha kusema.
Nendeni tu sisi tuakuwa nyumani tuasikiliza "sauti ya muziki".Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..
Ni dizaini kama Obama 2008 alipoungana na volunteers wake kupita mitaani jimbo la Iowa kugonga mlango nyumba kwa nyumba kuomba kura.. Kwa nyinyi watoto wa kariakoo mtasema "Obama maji yako shingoni" lakini sisi watoto wa madale tunasema "making personal connection with your supporters".!!
That means alot kwa fans.. But hamuwezi kuelewa hilo watoto wa kariakoo [emoji23]
Ukitaka show ya Elfu 10 subiri show ya "yeeeeeeaaaahh".!! [emoji23]
And kwa taarifa tu, Tiketi zimeisha.. Subirini kesho kwenye show mtapaa majibu [emoji123] [emoji123]
Nifah natamani nirudi haraka niwahi twende kwenye show! Unakumbuka tuna complimentary tickets mbili za VIP [emoji39] [emoji6] [emoji4]
Hawa sio wa kuhangaika nao mkuu... tusibiri kesho... they will be surprised!Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..
Ni dizaini kama Obama 2008 alipoungana na volunteers wake kupita mitaani jimbo la Iowa kugonga mlango nyumba kwa nyumba kuomba kura.. Kwa nyinyi watoto wa kariakoo mtasema "Obama maji yako shingoni" lakini sisi watoto wa madale tunasema "making personal connection with your supporters".!!
That means alot kwa fans.. But hamuwezi kuelewa hilo watoto wa kariakoo [emoji23]
Ukitaka show ya Elfu 10 subiri show ya "yeeeeeeaaaahh".!! [emoji23]
And kwa taarifa tu, Tiketi zimeisha.. Subirini kesho kwenye show mtapaa majibu [emoji123] [emoji123]
Nifah natamani nirudi haraka niwahi twende kwenye show! Unakumbuka tuna complimentary tickets mbili za VIP [emoji39] [emoji6] [emoji4]
Wazee wa sold out [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho tunataka picha za kila angle,ile tabia yenu ya kutupigia picha za karibia na stage tu hapana taka [emoji114]
Hamna cha marketing strategy wala nini,kwani hii ndio show ya kwanza ya Diamond?
Aaarrrgghhh tuache maneno tusubiri kesho panapo majaaliwa
Nimenuna kama nini hapa [emoji17] [emoji17] [emoji17] tena usinikumbushe [emoji24]
Uliniambia #kajiandae# nimejiandaa... [emoji40]
We shall see then [emoji6] [emoji108][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sisi ndio wajuzi wa hizi mambo, we are running this sh*t..
Babes you know how much i wanted us to be there tomorrow.. [emoji17] [emoji17]
Nimemaindi kinoma leo sijaweza hata kuwepo Mlimani city with the team
Mafuriko Gani... Bongo bhana!!! [emoji89]Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Kama hela huna nenda kweny SINGELIUsawa huu anaweka kiingilio elfu 30 akati wengi wa mashabiki wake ni watu wa kipato cha chini
Una roho ngumu kama ya scopion.Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!