PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

Show si itakuwa beach? Mi ntakuja na mtumbwi, wenye buku mbili mbili mnitumie PM.
 
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Ww ni mnafiki mtasubiri sana kwa diamond, huyo jamaa kashafika mbali kilichobaki ni chuki yenu tu lkn Mungu alishamuinua mtachemka tu kenge nyie mnakuwa kama vijana wa chadema wanaolipwa kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali
 
nilichogundua hapa
mashabiki wa Ali "K" ndio watu wanaomfuatilia sana Diamond Platinumz na WCB kwa ujumla hata kuliko mashabiki wa Diamond.

Na ndio watu ambao wana full-updated details za Diamond hata kuliko mashabiki wa Diamond

Na ndio maana hata Diamond anapata viewers wengi sana Youtube hadi inaanza kusemekana amenunua kwa sababu anamashibiki hadi wale wa Ali "K"
Halafu hao hao ndio wanaanza kuhoji amepataje hizo viewer wakiwa wamesahau kuwa wao ndio walikuwa watu wa kwanza kabisa kuitazama video.

USHAHIDI NI COMMENTS ZA HII POST
IDADI TUMEZIDIANA KABISA..
 
Wasingetoa hayo maji vile vikaratasi ingeonekana kama wanayapromote ?? Kweli mond unaijua hela
Toka huko hayo ni uhai amejishtukia staa ksma yy kutumia maji hayo badala ya kilimanjaro.
 
Halafu anazouza yeye ni laki 1!
Mhhhhhh hebu tusubiri hiyo kesho...huenda mambo yakiwa mabaya wataziuza kwa bei ya taifa elfu 10.
Na wamesema kesho mlangon hawatauza ticket so wakiuzia mlangoni shoo ishabuma watu mlale tu
 
Pamoja na kwamba kaingia mwenyewe mzigoni mambo sio mambo mkuu!
Muitikio ni mdogo sana!
Elfu 30 sio ndogo usawa huu wa Magu, na hao wachache waliofika hapo wameenda kupiga selfie tu [emoji23]
 
Ww ni mnafiki mtasubiri sana kwa diamond, huyo jamaa kashafika mbali kilichobaki ni chuki yenu tu lkn Mungu alishamuinua mtachemka tu kenge nyie mnakuwa kama vijana wa chadema wanaolipwa kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali
Povu linakutoka hivo utadhani wewe ndiye diamond? Au we salam
 
Sura ya daimond haikuchangamka, anaonekana hana furaha kama ana stress.
-anatakiwa akipiga picha na mashabiki atoe tabasam na kuinjoy
 
Ila mimi sijaelewa maana kwanza ilikuwa ni WCB perfomance lakini kila saa inakuwa tena wanaongezwa wanawake malaya na vichupi sasa nitoe alfu 30 kwa mziki au kushangaa vichupi. Bado sijaelewa madhumuni ni nini.
 
Imebuma?mpaka chibu kawa chinga... Nilijua sold out in 24hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…