PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

nifah unahitaji picha tena za mond au tukuletee za dodoma kwenye show ya kiba,usisahau show yake ni leo tena dodoma mjae basi mumpe moyo kijana wenu.
 
Kuna mtu nilimuonyesha huku ugaibuni msanii Anauza tkt za show yake Kwenye mall alicheka Sana akasema kwani Hana management

Halafu anasifiwa eti ni marketing strategy.
Bora useme wewe,nikisema mie naambiwa nina IQ ndogo,nina roho mbaya n.k
Inategemea na kiwango cha akili cha huyo mzungu uliyemuonyesha.. Maana kuna wazungu wengine wehu tu bora hata sisi akina kobelo wa tandale..
 
haya matimu timu ya kijinga sana........sasa mwenzenu anafanya biashara nyie mnakalia busy majungu........bure kabisa
 
Ww ni mnafiki mtasubiri sana kwa diamond, huyo jamaa kashafika mbali kilichobaki ni chuki yenu tu lkn Mungu alishamuinua mtachemka tu kenge nyie mnakuwa kama vijana wa chadema wanaolipwa kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali
kwakweli bora umesema maana inakera sana nyie majamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…