Picha 9 za birthday party ya Nicki Minaj…hiyo keki yake sasa.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherehekea birthday yake ya kutimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki ambapo party ilifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo ilihudhuriwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu wengine.








[h=3][/h]
 
Hii imenikimbusha keki moja ya kp niliyokutana nayo huko tabata....
Ningetupia picha hapa ka sio kuhofia ban.
Ni keki ya boobs na dushe lipo juu ya hizo boobs....nilichokaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…