Picha adimu ya Captain Malik 2010

Picha adimu ya Captain Malik 2010

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MOJA YA PICHA ADIMU YA CAPTAIN MALIK

Picha hiyo hapo chini ni katika Khitma ya Saigon kushoto ni Boi Iddi maarufu kwa jina la Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Albert Mbele na Khalid Abeid mwaka wa 2010.

Screenshot_20201114-052845.jpg
 
Babu said naomba ufafanuzi kuhusu huyo captain malik. alikuwa anahusika na shughuli gani?
 
Hao wote tuwaandike kwenye historia.

Majina mengi kwenye historia kama nyimbo za wakongo
 
Babu said naomba ufafanuzi kuhusu huyo captain malik. alikuwa anahusika na shughuli gani?
Smarte,
Ukiwa unapenda kunitambulisha kwa umri wangu niite mzee na si Said kwani hilo ni jina la baba yangu.

Unaweza kuniita Mzee Mohamed.
Ukiniita "babu" unanipa haiba iliyo mbali na wewe.

Nina wajukuu lakini miaka haijazidi 4.

Sasa wewe naamini ni umri wa wanangu hivyo ili ujitambulishe sawasawa ungeniita baba.
 
Embu cheki hii halafu cheki inbox naona uko busy mzee wangu
 
Attachments

Hao wote tuwaandike kwenye historia.

Majina mengi kwenye historia kama nyimbo za wakongo
MO,
Ungeweza ukaandika msg hiyo kwa ustaarabu bila kejeli na ukaeleweka.

Hatari ya kejeli ni kuwa unakaribisha mabingwa wa kejeli kukupita na pengine ukatukanwa.

Ikifikia hivi mjadala unakuwa ushapoteza maana hauna tena ile tija iliyokusudiwa.

Maelezo yoyote mfano wa taazia ni kuhusu watu na watu hutambulika kwa majina yao.

Ndiyo maana kwenye kitabu utakuta imewekwa faharasha, yaani "name index."

Jitulize na jifunze adabu za uandishi utaongeza maarifa yako.
 
Maalim hivi alikuwa akiitwa boi au ilikuwa kifupi cha boimanda? tafadhali naomba ufafanuzi nikiwa mdogo akiishi livingstone pale umenikumbusha mbali.
 
Back
Top Bottom