Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Smarte,Babu said naomba ufafanuzi kuhusu huyo captain malik. alikuwa anahusika na shughuli gani?
Embu cheki hii halafu cheki inbox naona uko busy mzee wanguSmarte,
Ukiwa unapenda kunitambulisha kwa umri wangu niite mzee na si Said kwani hilo ni jina la baba yangu.
Unaweza kuniita Mzee Mohamed.
Ukiniita "babu" unanipa haiba iliyo mbali na wewe.
Nina wajukuu lakini miaka haijazidi 4.
Sasa wewe naamini ni umri wa wanangu hivyo ili ujitambulishe sawasawa ungeniita baba.
Ndiyo nani hawa?MOJA YA PICHA ADIMU YA CAPTAIN MALIK
Picha hiyo hapo chini ni katika Khitma ya Saigon kushoto ni Boi Iddi maarufu kwa jina la Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Albert Mbele na Khalid Abeid mwaka wa 2010.
View attachment 1626021
wachezaji wa simba wa zamani,mastaa wa enzi hizoNdiyo nani hawa?
njaa...embu cheki hii halafu cheki inbox naona uko busy mzee wangu
MO,Hao wote tuwaandike kwenye historia.
Majina mengi kwenye historia kama nyimbo za wakongo