Picha: Afanya upasuaji kuondoa mbavu 5 na utumbo ili kuwavutia wanaume

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,973
Reaction score
3,643
Muigizaji kutoka Ghana Princess Shygle, ameistua dunia kwa kufanyiwa upasuaji na kuondolewa mbavu zake tano pamoja na utumbo ili kupata umbo namba 8 kwa ajili ya kuvutia wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mungu alishindwa kumridhisha unafikiri binadamu utamridhisha ?


By the utumbo wamefyeka sasa vyakula vinafyonzwa wapi???

Au wamebeba mwingine wakabakiza kidogo

Aiiiiiii. aibu nimeona mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mimi naamini kitu anachotegemea mwanamke(hasa wa Kiafrika) katika kupata mafanikio ni uchi wake tu hata awe na elimu ya kiwango gani japo wenyewe ukisema hivyo wanakuja juu sana.
Kwa Africa mwanamke amepewa attention kubwa kwenye ngono kuliko kwenye harakati zake nyengine. Ndio maana wanahangaika namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…