Picha: Afanya upasuaji kuondoa mbavu 5 na utumbo ili kuwavutia wanaume

Ukishangaa ya huyu kajisomee ya yule muimbaji alikuwa anaitwa Prince (marehemu)
Alifanya upasuaji na kuondoa mbavu zake 2
Kwa maadili siwezi kuandika yote ila unaweza kuperuzi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna wanaume wengine au ndio sisi!! [emoji3][emoji3][emoji3] Kafeli parefu!!
Wahuni tutamuumiza mpaka azikumbuke mbavu zake.

KiChwA bOX

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…