Picha: Alikiba na Neyo katika ubora wao

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Hatar sana,Mtaa wa pili kimya.
 
Attachments

  • Screenshot_2015-08-18-18-51-26.png
    89.4 KB · Views: 1,993
  • Screenshot_2015-08-18-18-51-17.png
    89.7 KB · Views: 2,047
  • Screenshot_2015-08-18-18-50-43.png
    87 KB · Views: 1,988
It is a Coke Studio project that Coke wanafanya every year. But trust mbululaz like the one who posted the thread to think Neyo is in Nairobi to record a collabo with Ali Kiba. There are so many African artists including Flavor who are currently in Nairobi for Coke studio.
 
Why so emotional!? Anyway sio fun wa wote kati ya hao mnaowapigia kifua..hahhahahaa
 
Jasho la nini bint ?

Ni project sawa but after ya project kuna single ya Kiba X neyo

Kuna picha wapo 2 hapo ni chumba cha mazungumzo na walikua wanazungumzia kuhusu issue hiyo

Au nikupe na screen capture uamini nikisemacho?
 
Sijui hata kama kingereza anajua ataongea nn na neyo jamaa mdebwedo sana hata ktma alibebwa
 
Jasho la nini bint ?

Ni project sawa but after ya project kuna single ya Kiba X neyo

Kuna picha wapo 2 hapo ni chumba cha mazungumzo na walikua wanazungumzia kuhusu issue hiyo

Au nikupe na screen capture uamini nikisemacho?

Tumeshawazoea nyie
 
Embu ilete ile picha neyo amepost kwenye Instagram yake moto umewaka huko hatariiii...watanzania wamenishinda 😃😃😃
 
kwani kingereza ninini? punguza dis zisizo za msingi,lini mtawapa support wasanii wenu kwa mtazamo neyo mwenyewe kafurahia lile tukio wewe unae angalia picha unaishia kudis ina kusaidia nn
 
Hii ni kama alivyokuja Y Cliff coke studio iliyopita akarecord na wasanii wote waliokua CokeStudio hakuna kitu hapo Neyo hawezi fanya collabo na Kiba.
Kiba ajiongeze kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…