Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000010305.jpg
 
..Lowassa naye alitakiwa kutubu kwa Frederick Sumaye na Salim Ahmed Salim.

..genge lao la wanamtandao lilihusika kuwaandama na kuwachafua wenzao.
Wakristo tunatubu kwa Mungu wa Mbinguni sirini

Wakristo tunasamehe bila kuombwa msamaha " Baba utusamehe kama sisi tunavyosamehe"

Ndio Rostam Aziz amesema Lowasa alikuwa MchaMungu!
 
Wakristo tunatubu kwa Mungu wa Mbinguni sirini

Wakristo tunasamehe bila kuombwa msamaha " Baba utusamehe kama sisi tunavyosamehe"

Ndio Rostam Aziz amesema Lowasa alikuwa MchaMungu!

..kama Lowassa hakutubu na kuwaomba msamaha Sumaye na Salim basi na yeye anakosa uhalali wa kuombwa msamaha kwa aliyotendewa.
 
..kama Lowassa hakutubu na kuwaomba msamaha Sumaye na Salim basi na yeye anakosa uhalali wa kuombwa msamaha kwa aliyotendewa.
hiyo sumaye ni matako mr zero. ni limtu la hovyo kupata kutokea.
 
Hii inafundisha kuwa hata kama ni Siasa tuwe makini kwenye uchaguzi wa maneno tunayoyatamka
 
Ina maana lowassa nae angefia madarakani
Vyama vyote vikibwa yeyote angeshinda ilikua ni lazima afie madarakani kwa awamu ya tano.
Tuliaminishwa Lowasa ndio angefia ikulu pekeake ila amewazika wenzie kibao.
Mungu amrehemu na kumpokea mja wake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom